Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya
Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa
(kulia) na pamoja na Mjumbe wa Bodi
kutoka Kampuni ya Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki
wakisaini Mkataba wa ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro-
Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya
Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa
(kulia) na pamoja na Mjumbe wa Bodi
kutoka Kampuni ya Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki
wakibadilishana Mkataba wa ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro-
Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya
Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa
(kulia) na pamoja na Mjumbe wa Bodi
kutoka Kampuni ya Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki
wakionyesha kwa waandishi wa habari
Mkataba wa ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora
(Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya
Rasilimali za Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa
akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli
ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo
Septemba 29, 2017.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hawa Ghasia
akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa
mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa
hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...