Katikati
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na mazingira Mhe. Luhaga Mpina,
Mbele yake ni Bw. George Mratibu wa Kiwanda cha Ngozi Morogoro , cha ACE LATHER
TANZANIA LTD, wakiwa katika ukaguzi wa mtambo wa kisasa wa kutibu majitaka
kiwandani hapo ambapo Mpina yupo Mkoani Morogoro katika ziara ya ukaguzi wa
utekelezaji wa Sheria ya Mazingira na kanuni zake, kufuatia maagizo aliyoatoa
awali katika ziara ya viwanda hivyo.
Kushoto
kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji Taka mjini Mororgoro, inginia
Halima Mbiru, akimuonyesha Naibu Waziri Mpina Mpaka wa mabwawa ya maji taka
mali ya mamlaka hiyo, hayapo katika picha. Mhe. Mpina alifanya ziara ya ukaguzi
wa mabwawa hayo mapema leo.
Katika picha
ni washiriki katika ziara ya Naibu Waziri Mpina alipokagua Mabwawa ya majitaka
kama yanavyoonekana katika picha.
Kushoto,
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina
kulia ni Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa
Morogoro Dkt Kebwe Steven Kebwe katika kikao kabla ya kuanza ziara ya ukaguzi
wa viwanda Mkoani hum oleo. (Picha na Evelyn Mkokoi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...