Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye
chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakaribisha vijana sita
waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu
Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakipakua chakula na mmoja wa vijana sita
waliokimbiza Mwenge wa Uhuru aliowaalika kupata naye chakula cha mchana
Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017.
Picha ya pamoja.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...