Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akishuka kwenye ndege katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Jijini Dar es salaam akitotokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam
Kamishina Lazaro Mambosasa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akizungumza na Bi.Sophia Mjema mkuu wa Wilaya ya Ilala mara
baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini
Dar es salaam akitokea Zanzibar Oktoba 15, 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa Mkoa wa Mjini Magharibi mapema leo kabla ya kurejea jijini Dar.PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...