Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kawe, wakishiriki
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani kwa kushiriki semina iliyoandaliwa
kwa pamoja na taasisi ya Her Initiative na TAHMEF kwa ajili ya kutoa elimu hya
kujitambua, ushauri wa kitaalamu na kupima afya za mabinti, semina iliyofanyika
shuleni hapo, jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...