Naibu Waziri wa Ujenzi,
Elias Kwandikwa (katikati) akitoa maelekezo kwa Meneja mradi (TANROADS) Anold
Maeda (wa tatu kushoto) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea mradi wa
barabara ya juu katika makutano ya barabara ya TAZARA jana jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (Katikati) akitoa maelekezo kwa Meneja mradi
(TANROADS) Anold Maeda (wa tatu kushoto) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea
mradi wa ujenzi wa barabara ya juu unaondelea katika makutano ya barabara ya TAZARA
jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mhandisi Mkazi kutoka Shirika la
Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) Kiyokazu Tsuji.
Baadhi ya
mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa mradi wa barabara ya juu (Fly Over)
jana jijini Dar es Salaam.
Meneja mradi
(TANROADS) Anold Maeda (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa
(katikati) kuhusu mradi wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly Over) wakati Naibu
Waziri huyo alipotembelea mradi huo jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mhandisi Mkazi kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA)
Kiyokazu Tsuji.
Picha
Na Eliphace Marwa - Maelezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...