Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia), akizungumza na balozi wa China
nchini Mhe. Wang Ke, alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo leo
jijini Dar es salaam kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kuwa Balozi
hapa nchini. Picha na Jeshi la Polisi.
Balozi
wa China nchini Mhe. Wang Ke,
akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia), alipomtembelea
ofisini kwake Makao Makuu ya jeshi hilo leo jijini Dar es salaam kwa lengo la
kujitambulisha tangu alipoteuliwa kuwa Balozi hapa nchini na kuahidi serikali
ya nchi yake itaendelea kushirikiana na jeshi hilo. Picha na Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...