Familia ya Dkt. Fanuel Maro na Bibi Violet Maro ya Upanga Mashariki jijini
Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo
cha binti yao mpendwa Rose Fanuel Maro kilichotokea jana Alhamisi Desemba 7,
2017 katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote
pale walipo.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Mtaa wa Longido, Upanga Mashariki, jijini Dar es salaam.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
Jina lake na lihimidiwe - AMINA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...