Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Dodoma.
Mvua Kubwa zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha adha Kubwa kwa watumiaji wa barabara ya Dodoma -Morogoro kutokana na eneo kubwa la barabarani kufunikwa na maji kuanzia Mtanana mpaka Kibaigwa.
Maji hayo ambayo yamesababisha adha ya mabasi ya abiria na binafsi kushindwa kupita kutokana na kufanya wasafiri kuendelea kukaa hapo kwa zaidi ya Saa nne kusubiri maji yapungue.
Wenyeji wa eneo hilo wamesema kuwa Maji hayo yamekuwa yakitoka milimani ambapo mvua zimenyesha kuanzia saa saba usiku
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...