
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilli kumkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya Sifael nchini India, kwa matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India, kwa matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na waendesha kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU wakimsikiliza mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma akishukuru kwa kupokea shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu yake nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike pia alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya sifael nchini India kwa matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na ujumbe alioongozana nao pamoja na waendesha kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU wakiwa katika picha ya kumbukumbu na mwigizaji wa filamu za Bongo movie Wastara Juma baada ya kumkabidhi shilingi milioni 15 zilizotolewa na Rais John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu ya msanii huyo nyumbani kwake Tabata Sanene jijini Dar es salaam leo Ijumaa Januari 26, 2018. Bw. Samike pia alimkabidhi Wastara shilingi milioni moja na laki tisa zilizocahngwa na wasaidizi wa Rais. Msanii huyo maarufu, ambaye alionekana na Rais kupitia kipindi cha Clouds TV cha SHILAWADU akiomba msaada wa pesa ili kurudi hospitali ya Sifael nchini India kwa matibabu chini ya uangilizi wa hospital hiyo, amemshukuru Rais kwa kuwajali wananchi wake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...