Mwamitindo maarufu nchini, Asia Idarous Khamsin (katikati) akizunguza na waandishi wa habari juu ya Tamasha la Mitindo ya Mavazi la Lady In Red linalotarajiwa kufanyika Februari 9, 2018 katika ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es salaam ikiwa ni mwaka wake wa 15 toka kuanzishwa kwake, ambapo pia amesema anatarajia kuliachia Tamasha hilo kwa wanamitindo chipukizi na sasa ameamua kupumzia na kuwaachia vijana wenye damu changa kuliendeleza.
Mwamitindo maarufu nchini, Asia Idarous Khamsin akiwa na Mwanamitindo Martin Kadinda.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...