Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabulla wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza kuanza ziara ya mkoa huo, Februari 15, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa serikali, Vyama vya Siasa na viongozi wa dini kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi mkoani humo Februari 15, 2018. Watano kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...