Bango la kinamama kutoka kila kona ya dunia waliokusanyika mjini Trollhättan Sweden kusherehekea Siku ya Wanawake Machi 8, 2018 na baadaye kwenda kwenye hoteli ya Mtanzania Chef Issa kwa chakula cha mchana
Kinamama kutoka kila kona ya dunia waliokusanyika mjini Trollhättan bchini Sweden kusherehekea Siku ya Wanawake Machi 8, 2018 wakiwa kwenye hoteli ya Mtanzania Chef Issa kwa chakula cha mchana
Chef Issa akiwahudumia kinamama kutoka kila kona ya dunia waliokusanyika mjini Trollhättan bchini Sweden kusherehekea Siku ya Wanawake Machi 8, 2018 wakiwa kwenye hoteli ya Mtanzania Chef Issa kwa chakula cha mchana
Mapochopocho kwa kinamama kutoka kila kona ya dunia waliokusanyika mjini Trollhättan bchini Sweden kusherehekea Siku ya Wanawake Machi 8, 2018 wakiwa kwenye hoteli ya Mtanzania Chef Issa kwa chakula cha mchana
Kinamama kutoka kila kona ya dunia waliokusanyika mjini Trollhättan bchini Sweden kusherehekea Siku ya Wanawake Machi 8, 2018 wakiwa kwenye hoteli ya Mtanzania Chef Issa kwa chakula cha mchana
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...