Wafanyakazi
TBL walivyoshiriki Kilimanjaro Marathon 2018
Idadi kubwa ya wafanyakazi kutoka kampuni ya TBL Group wameshiriki mbio
za Kili Marathon zilizofanyika mkoani Kilimanjaro.Mashindano haya maarufu
duniani yanadhaminiwa na kampuni hiyo kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premier
Lager.
Mwaka huu TBL Group imekuja na ajenda ya kuwezesha na kuhamasisha upandaji mti katika maeneo yanayozunguka
mlima Kilimanjaro ili kulinda mazingira,ambapo kwa kushirikiana na taasisi ya Kilimanjaro Project, inatarajia kupanda miti
100,000.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...