Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
ALIYEKUWA Rais wa Brazil Luiz Inancio Lula Da Silva (52) maarufu kama
Lula amejisalimisha katika jela la Curitiba kuanza kutumikia kifungo chake cha miaka 12 jela kwa tuhuma za rushwa na ufisadi wakati wa utawala wake.
Wakati huo huo mahakama ya Jodhpur nchini India imemwachia kwa dhamana muigizaji wa filamu za kihindi Salman Khan (52) aliyekuwa kizuizini baada ya kuhukumiwa miaka 5 jela kwa tuhuma za ujangili.
Dhamana hii inampa Khan nafasi ya kukata rufaa kwa kesi hii kama alivyoeleza wakili wake wiki iliyopita, licha ya kuhukumiwa miaka 5 jela Khan alitozwa faini ya rupia 10,000.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...