Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu
cha kumbukumbu ya maombelezo ya Marehemu Abbas Kandoro aliyefariki jana
kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimpa pole mke wa Marehemu Abbas
Kandoro, Mariam Kandoro nyumbani kwa marehemu Mbweni jijini Dar es salaam.(Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...