Naibu Waziri wa Ujenzi Elias
Kwandikwa, akihutubia viongozi na wajumbe wa baraza la wafanyakazi
wakati akifunga kikao cha pili cha baraza hilo kilichofanyika mkoani
Morogoro.
Mwenyekiti wa baraza la
wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto),
akizungumza na wajumbe wa baraza hilo kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri
wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, kufunga kikao cha siku ya pili cha baraza
hilo, mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Ujenzi Elias
Kwandikwa (kulia), akiteta jambo na Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi
ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
(Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto), kabla ya kufunga
baraza hilo lililokutana kwa siku mbili, mkoani Morogoro.
Baadhi ya wajumbe wa baraza la
wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya
Ujenzi), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (hayupo
pichani), wakati akifunga kikao cha siku ya pili ya baraza la
wafanyakazi kilichofanyika mkoani Morogoro.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...