Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege akijibu maswali ya wabunge, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu  Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Jiimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiwaeleza jambo Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akimueleza jambo Mbunge wa Jimbo la Chemba Mhe. Juma Nkamia, wakati wa kikao cha kumi na moja cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma.PICHA NA MAELEZO

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...