Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye, Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na wananchi wa kata ya Nkimiziwa jimboni humo aliposhiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora juzi. Akiwa jimboni humo alitembelea pia kata ya Ndala ambapo alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za Mei Mosi.
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi na viongozi wa chama na Serikali wa kata ya Nkimiziwa jimboni humo aliposhiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora juzi ambapo aliwataka viongozi wa chama na Serikali ngazi ya vijiji, kata, wilaya hadi mkoa kuwasilisha kwake kero za wananchi wa jimbo lake ili aweze kuzitafutia ufumbuzi.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye, Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki kwenye maandamano na wananchi, viongozi wa chama na Serikali wa kata ya Nkimiziwa jimboni humo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika wilaya ya Nzega mkoani Tabora juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...