Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Koplo, Yakobo kiwawa (kushoto) wakati akiingia katika Ofisi ya Uhamiaji leo Mjini Dodoma Kwa ajili ya kuchukuliwa alama za vidole ili kutengenezewa pasi/hati ya kusafiria.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni walipotembelea Ofisi ya uhamiaji leo Mjini Dodoma kabla ya kuchukuliwa alama za vidole kwa ajili ya kutengenezewa pasi ya kusafiria.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akichukuliwa alama za vidole kwa ajili ya kutengenezewa pasi ya kusafiria leo katika Ofisi ya uhamiaji Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Dodoma, Ndg. Edwin Mwasota (kulia) leo katika Ofisi za uhamiaji Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...