Sehemu ya Wakazi wa Dar es Salaam wakichagua nguo za watoto katika Mtaa wa Congo- Kariakoo wakichagua nguo za Sikuu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya sikukuu ya Eid   El Fitri
 Wazazi wawili wakishauriana kuchagua nguo ipi inafaa kwa watoto wao kama walivyonaswa katika Mtaa wa Congo na Agrey Kariakoo,jijini Dar leo.
Umati wa watu uliojazana Mtaa wa Congo Kariakoo kununua nguo za sikuu kwa ajili ya watoto wao katika msimu huu wa siku kuu ya Eid   El Fitri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...