Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafari wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto)  akimfafanulia mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam, aliyetembelea kwenye banda la Mamlaka hiyo  juu ya  mikakati  ya usafiri wa anga  kupunguza  uchafuzi wa mazingira, wakati wa maonesho ya Wiki ya Mazingira  yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliotembelea kwenye banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA)   wakimsikilza kwa makini  afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (katikati)   wakati akiwafafanulia  jambo juu ya  mikakati  ya usafiri wa anga  kupunguza  uchafuzi wa mazingira, wakati wa maonesho ya Wiki ya Mazingira  yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mnazi Mmoja jijini Dar eS Salaam,  waliotembelea  katika banda la TCAA, wakimsikiliza kwa makini Mratibu wa mazingira wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) John Mfungo  wakati akiwaelezea  juu ya  mikakati  ya usafiri wa anga  walivyojipanga kupunguza  uchafuzi wa mazingira, wakati wa maonesho ya Wiki ya Mazingira  yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...