Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na wanahabari baada ya kutembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 30, 2018
Wafanyakazi katika wa TTCL Corporation mbele ya banda lao katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
m
Wafanyakazi katika wa TTCL Corporation mbele ya banda lao katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere akikaribishwa kutembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
m
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo walipotembekea TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...