Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko
jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na mke wake Frida Saimoni (kushoto
)akikabidhiwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam, na
Pwani, George Lugata funguo za gari wakati wa hafla iliyofanyika
katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne
ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George
Lugata,(kulia) akimkabidhi Kadi na Funguo za gari mshindi wa sita wa
gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi
ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo ambaye ni mkazi wa Boko jijini Dar es
Salaam, wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini
Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom
unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo ambaye ni mkazi wa
Boko jijini Dar es Salaam, akitoa ushuhuda jinsi alivyojishindia gari
kwa waandishi wa habari wakati wa hafla kumkabidhi gari hiyo
iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,
Jacqueline Materu akiongea kwa waandishi wa Habari pamoja na wananchi
waliojitokeza kwenye viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati wa
hafla kumkabidhi Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la
promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo .
Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George
Lugata,(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi
milioni 1 mkazi wa Mwenge Samweli Joseph baada ya kuibuka mshindi wa
promosheni ya M-Pesa , wakati wa hafla kumkabidhi gari aina ya
Renault Kwid mshindi wa sita Batholomeo Kanjo iliyofanyika katika
Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam .
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...