Mkuu
wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto) pamoja na
mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Pwani ,Ramadhani Maneno,
wakishiriki katika nguvu kazi ya ujenzi wa kituo cha afya Kirongwe
wilayani Mafia ,wakati wa ziara ya kamati hiyo kukagua utekelezaji wa
ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka miwili na nusu ya uongozi wa serikali
ya awamu ya tano. Kuanza kwa ujenzi huo imetokana serikali kutoa kiasi
cha sh. milioni 500 kwa ajili ya ujenzi huo ambao utakapokamilika kituo
kitahudumia takribani wakazi kutoka vijiji vingi vinavyozunguka kata ya
Kirongwe .(picha na Mwamvua Mwinyi).
Sehemu ya ujenzi wa mradi wa maji safi na salama ,(inayoonekana pichani),unaojengwa kijiji cha Jibondo ,wilayani Mafia,mkoani Pwani ,ambao utakapokamilika utakaogharimu karibia bilioni mbili .(picha na Mwamvua Mwinyi).
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo akibeba ndoo ya samaki kumimina katika beseni la mama ambae anauza biashara ya samaki kwenye mwalo wa samaki wilayani Mafia.(picha na Mwamvua Mwinyi).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...