Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la
Kongwa avalishwa rasmi vazi la jadi la uchifu na kupewa mbuzi na wazee
wa jadi kama ishara ya heshima na kukubalika katika Kijiji cha Nghumbi
kiliopo wilaya ya Kongwa.
Wananchi mbalimbali wa Kijiji cha Gomaye wakimsikiliza kwa makini
Mheshimiwa Spika Job Ndugai ambaye alifanya ziara katika Kijiji hicho
mapema leo.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akilisikiliza kwa makini kikundi cha ngoma ambacho kilitoa buruduni katika Kjiji cha Njoge wilaya ya Kongwa. Spika anatarajia kutembelea vijiji kumi na mbili katika ziara yake wilayani humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...