Waziri
wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Mh.Charles akitoa heshima za mwisho mbele ya sanduku lililobeba mwili wa aliyekuwa Ofisa Mwandamizi kitengo cha Mawasiliano katika Wizara hiyo,Marehemu Shadrack Sagati wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwizo,zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja,Ilala jijini Dar.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya
jamii)
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitoa heshima za mwisho mbele ya sanduku lililobeba mwili wa aliyekuwa Ofisa Mwandamizi kitengo cha Mawasiliano katika Wizara hiyo,Marehemu Shadrack Sagati wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwizo,zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja,Ilala jijini Dar
Naibu
Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akitoa heshima za mwisho mbele ya sanduku lililobeba mwili wa aliyekuwa Ofisa Mwandamizi kitengo cha Mawasiliano katika Wizara hiyo,Marehemu Shadrack Sagati wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwizo,zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja,Ilala jijini Dar
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ilala , Edward Mpogolo akitoa heshima za mwisho mbele ya sanduku lililobeba mwili wa aliyekuwa Ofisa Mwandamizi kitengo cha Mawasiliano katika Wizara hiyo,Marehemu Shadrack Sagati wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwizo,zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja,Ilala jijini Dar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...