Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa
Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu kabla ya kikao
kilichofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa
Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi
huo, pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Uturuki
nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu wakati wa kikao baina yao
kilicholenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi, nakujifunza
shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania. kikao kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu baada ya
mazungumzo yaliyofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...