DStv tunauwasha tena Moto Jumanne hii ambapo msimu mpya wa UEFA Champions league unaanza
rasmi, Na ni kwenye Supersport pekee ndipo utaweza kuipata Ligi hii ya Mabingwa wa Ulaya
Mubashara!
Barcelona watatufungulia pazia kwa mechi kali dhidi ya PSV itakayochezwa saa 2 usiku na kuruka LIVE
kwenye DStv kupitia Supersport 5. Inter Milan itacheza dhidi ya Tottenham Hotspur saa 2 usiku na
utaipata mechi hii LIVE kwenye Supersport 6 kifurushi Compact Plus.
Borussia Dortmund wataenda Jan Breydel Stadium kukutana na Club Brugge mechi itakayorushwa LIVE
kwenye Supersport 8 ya kifurushi Bomba kwa sh.19, 000 saa 12 jioni.
Mechi nyingine kali Jumanne hii ni kati ya Liverpool dhidi ya PSG itakayochezwa saa 4 usiku kwenye
Supersport 5 kifurushi Compact Plus.
Mteja wa DStv, Hakikisha unalipia kifurushi chako kabla hakijakatika ili upate ofa ya
kuongezewa chaneli za supersport za kifurushi cha juu kwa kipindi cha siku 7 buree na utaweza
kufurahia msimu mpya wa UEFA Champions League.
Kumbuka ukiwa na Application ya DStv Now utaweza kuangalia mechi zote kupitia simu yako ya
mkononi, Tablets, Laptop na hata Desktop ukiwa mahali popote wakati wowote bila gharama
ya ziada.
DStv sasa inapatikana kwa sh.79, 000 tu unapewa na kifurushi cha mwezi mmoja Bomba buree,
Kujiunga piga 0659 070707!
DStv Moto Hauzimi!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...