KAMPUNI ya simu ya Infinix imekuletea aina mpya ya simu ikiwa ni muendelezo wa toleo la simu za HOT na safari hii ujio wa simu hiyo inayotambulika kama Infinix HOT 6X inakwenda sambamba na challenge ya mtandaoni inayofahamika kama #HOT6XChallenge na #HOT6X


Jinsi ya kushiriki shindano ili na uwezo kujipatia simu hiyo ya kisasa bure yenye sifa lukuki kama vile kioo chenye upana wa nchi 6.2 HD+ na teknolojia ya notch. Kamera yenye megapixel 13 +2 na flashi mbili nyuma pamoja na selfie matata yenye megapixel 8 na flash, na uzuri zaidi kamera za Infinix HOT 6X zinatumia teknolojia ya Artificial intelligent inayosaidia kutambua aina ya kitu pindi tu unapokipiga picha. 

Infinix HOT 6X ni simu yenye uwezo mkubwa wa kuprocess files kutokana na aina ya android inayofahamika kama android 8.1 ikisaidiana na processor ya Qualcomm snapdragon na ram ya GB 3. Lakini pia Infinix HOT 6X inauwezo mkubwa wa kubeba files nyingi kutokana na uwezo wake wa kuhifadhi vitu unaofahamika kama memory ni GB 32. 

Je, utawezaje kuifanya iwe yako bila ya kutumia pesa isiyopungua laki 350000 za kitanzania? Cha kufanya ingia sasa katika account ya @infinixmobiletz repost picha au post picha ya #HOT6XChallenge kwenye account yako ya instagram, weka caption nzuri alafu hashtag #HOT6XChallaenge na #HOT6X na tag @infinixmobiletz kasha tag marafiki zako walike post yako na uweze kuibuka mshindi wa Infinix HOT 6X na zawadi nyingine nyingi. 

Kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa wetu wa instagram @infinixmobiletz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...