Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na Kamuyaga Ibuga (kushoto) wakati alipotembelea Mradi wa Maji wa
Nyamtukuza wilayani Nyang’hwale, Novemba 28, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea
chanzo cha Maji katika Mradi wa Maji wa Nyamtukuza wilayani
Nyang’hwale, Novemba 28, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama
wingi wa Maji katika tangi wakati alipotembelea Mradi wa Maji wa
Nyamtukuza wilayani Nyang’hwale Novemba 28, 2018. Kulia ni Waziri wa
Nisahati na Mbunge wa Chato, Medard Kalemani. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...