Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga aliyehamia CHADEMA, Hamis Mgeja ambaye alijumuika na maelfu ya mwananchi waliojitokeza kwenye Kiwanja cha Sabasaba cha Karumwa wilayani Nyang'hwale kumsikiliza Waziri Mkuu alipohutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita, Novemba 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Kiwanja cha Sabasaba kilichopo Karumwa wilayani Nyang'hwale Novemba 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...