Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi, Profesa Evaristo Liwa akimkaribisha Mkuu wa Chuo, Mhe Cleopa David Msuya kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyfanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Kulia ni Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Cho, Balozi Costa Kahalu na viongozi waandamizi wa ARU. (Imeandaliwa na Robert Okanda) .
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Costa Mahalu akitoa hotuba yake wakati wa kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Jumla ya wahitimu 974 wa shahada mbalimbali walitunukiwa stahili zao.

Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Mhe. Cleopa David Msuya akimtunuku Samweli Sanga Digrii ya uzamivu (Doctor of Philosophy) ya ARU wakati wa kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Kulia ni Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Costa Mahalu na Makamu Mkuu wa ARU, Profesa Evaristo Liwa. Jumla ya wahitimu 974 wa shahada mbalimbali walitunukiwa stahili zao.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...