Mkali wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba aka King Kiba, akiwa stejini pamoja na madensa wake wakati wa Tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongo Flava Vanessa Mdee (katikati) akitoa burudani ya kufunga mwaka pamoja na madensa wake katika hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wakishangilia kundi la Weusi( hawapo pichani) wakati walipopanda jukwaani kutumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Msanii Chege Chigunda (kushoto) akitoa burudani ya kufunga mwaka kwenye hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz, akiwapagawisha mamia ya mashabiki waliofika kushuhudia hitimisho la Tamasha la Tigo Fiesta ‘Champion’ lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.
Kundi la muziki wa kufoka foka (Hip Hop) la Weusi likitoa burudani ya kufunga mwaka katika hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.

Msanii Dogo Janja akitoa burudani ya kufunga mwaka kwenye hitimisho la tamasha la Tigo Fiesta 2018 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...