
Familia ya Daudi Liana, Usangi-Mwanga Kilimanjaro wakitoa msaada wa mashuka kwa wodi ya wazazi ya hospitali ya Wilaya ya Mwanga, Usangi, Kilaweni..



Mmoja ya wanafamilia ya Daudi Liana wa Usangi-Mwanga Kilimanjaro akionesha moja ya misaada ya mashuka kwa wodi ya wazazi ya hospitali ya Wilaya ya Mwanga, Usangi, Kilaweni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...