Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP
Simon Sirro, akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya
Yapi Merkezi inayojenga Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) jijini Dar es salaam,
kabla ya kuanza ziara ya kutembelea Mradi huo kutoka kituo cha Ilala hadi kituo
cha Kilosa mkoani Morogoro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP
Simon Sirro, akiangalia sehemu ya reli ya Kisasa SGR iliyokamilika wakati
alipofanya ziara ya kutembelea mradi huo kutoka kituo cha Ilala hadi kituo cha
Kilosa mkoani Morogoro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP
Simon Sirro, akiwasilia katika kituo cha Soga kilichopo mkoa wa Pwani kwa ajili
ya kuona namna mataluma ya reli yanavyotegenezwa katika kituo hicho wakati
alipofaya ziara ya kutembelea Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kutoka kituo cha
Ilala hadi kituo cha Kilosa mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kushoto) akimuelezea jambo Mkuu wa Jeshi
la Polisi IGP Simon Sirro, kuhusiana na Mradi wa Reli ya kisasa SGR, wakati
alipofanya ziara ya kutembelea Mradi huo unaojegwa na Kampuni ya Yapi Merkezi. Picha na Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...