Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb)
akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi kati yake na watumishi wa Tume ya
Utumishi wa Umma, kilichofanyika Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma, Ubungo
Plaza jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa
Umma Jaji Mstaafu, Dkt. Stephen Bwana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb)
akizungumza na Makamishna wa Tume ya
Utumishi wa Umma kabla ya kuanza kikao kazi kati yake na watumishi wa Tume ya
Utumishi wa Umma, Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma, Ubungo Plaza jijini Dar es
Salaam.
Naibu Katibu, Tume ya
Utumishi wa Umma, Bi. Rosy Elipenda akitoa neno la shukrani kwa niaba ya
watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma wakati wa kikao kazi kati ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)
George Mkuchika (Mb) na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma, kilichofanyika
Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akisalimiana na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bi. Immaculate Ngwale alipowasili Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam kuzungumza na watumishi wa Tume hiyo.
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mstaafu Dkt. Stephen Bwana akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) kuzungumza na watumishi wa Tume wakati wa kikao kazi kilichofanyika Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Katibu, Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Richard Odongo.
Kaimu Katibu, Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Richard Odongo akitoa neno la utangulizi wakati wa kikao kazi kati ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma kilichofanyika Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...