Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimsikiliza Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Massele aliyemtembelea Ofisi kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimsikiliza Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Massele aliyemtembelea Ofisi kwake Bungeni Mjini Dodoma. Massele aliongozana na Rais wa Umoja wa Vijana wa Bunge la Afrika Mboni Mhita pamoja na Mjumbe wa Bunge la Afrika David Silinde.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...