Joseph Mpangala,Mtwara.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saimon Sirro amekutana na Mkuu wa Polisi Kutoka Msumbiji Bernardo Rafael na kufanya Mazungumzo kuhusiana na Mauaji ya Watanzania 9 yaliyotokea tareh26 Mwezi huu katika Kijiji cha Mtole Nchini Msumbiji.
Katika Mazungumzo yao wamekubaliana Kufanya kazi pamoja ikiwepo kufanya operesheni za pamoja ili kupunguza Uhalifu.
Wakiongea Mara baada ya Kikao Hicho Mkuu wa Jeshi la Tanzania IGP Saimon Sirro amesema wahalifu hawana Mipaka hivyo ni lazima kushirikiana kwa pamoja ili kuofanikisha uwepo wa Amani kwa Nchi zote mbili.
"Tumekubaliana kimsingi ya Kwamba wahalifu hawana Mipaka kwa hiyo na Sisi mipaka Isitufanye tukashindwa kupambana na Wahalifu na hasa haya makosa ya kuvuka Mipaka ni Lazima Tushirikiane na kikubwa zaidi ni kubadilisha taarifa na kufanya Operesheni Pamoja"IGP Sirro.
Naye Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Msumbiji amesema kuwa Kwa ushirikiano watahakikisha wanafanya upelelezi ili kiweza kubaini watu hao wamepata wapi mavazi ya Kijeshi ya Nchini Humo.
" Tunafanya Investigation kujua nini kimetokea kwa tumekuja hapa kuhangaikia mambo yenyewe tufanyekazi pamoja tujue Wamepata wapi Uniform za jeshi la Taifa la kwetu"Bernardo IGP wa Msumbiji.
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Msumbiji IGP Bernardino Rafael akizungumza jambo mbele ya Waandishi wa Habari kufuatia mauaji ya watanzania yaliotokea Juni 26 mwaka huu katika kijiji cha Mtole nchini Msumbiji mpakani mwa Tanzania na Msumbi,kulia ni Mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP Simon Sirro
Picha ya Pamoja
Pichani ni mkuu wa jeshi la polisi nchini Msumbiji IGP Bernardino Rafael leo wakisalimiana na mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP Simon Sirro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mtwara kwa ajili ya kuja kuweka mambo sawa kufuatia mauaji ya watanzania yaliotokea Junin 26 mwaka huu katika kijiji cha Mtole nchini Msumbiji mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.(PICHA NA FATNA MWINYIMKUU).
Pichani ni Mkuu wa jeshi la polisi nchini Msumbiji IGP Bernardino Rafael kushoto leo wakipeana mikono ya salamu na mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP Simon Sirro kulia mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mtwara kwa ajili ya kuja kuweka mambo sawa kufuatia mauaji ya watanzania yaliotokea Junin 26 mwaka huu katika kijiji cha Mtole nchini Msumbiji mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.(PICHA NA FATNA MWINYIMKUU).
الرؤية والرسالة
ReplyDeleteتسعي الجامعة إلي توفير مقومات التطوير المستمر لمواكبة التطورات العلمية والتكنولوجية المتسارعة ، وتجويد الأداء الجامعي ، وتعمل الجامعة علي تحقيق رسالتها من خلال
إعداد الكوادر الفنية المتخصصة في مختلف المجالات التي تقابل احتياجات المجتمع وتتطلبها مجالات التنمية الشاملة
• وتوفير المؤهلين في التخصصات المستحدثة التي يتطلبها سوق العمل
• إجراء البحوث والدراسات العلمية والتطبيقية التي ترتبط بمشكلات المجتمع وبرامج التنميـة
• التأكيد علي القيم الإنسانية النبيلة وتعميق قيمة الولاء الوطني والمحافظة علي المبادئ الأصيلة للمجتمع
• دعما لروابط الثقافية والعلميةبين الجامعة والمؤسسات العلمية والجامعات العربية والعالميةوتوثيقها
• التطوير المستمر للبرامج الدراسية وبرامج الدراسات العليا لمواكبة التقدم العلمي والتكنولوجي
• تقديم الخبرات الاستشاراية للهيئات والمؤسسات الانتاجية من أجل خدمة المجتمع وتنمية البيئة
جامعة المنيا
Minia University
Université de Minia
Universidad de Minia