Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Albert Chalamila leo Agosti 31,2019 ametembelea eneo la Mwansekwa Jijini Mbeya mara baada ya kutokea kwa Ajali ya Lori la Mafuta ,ajali hiyo inadaiwa kutokea alfajili ya Leo saa 5:30 na hakuna aliyepoteza maisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...