Rais
Mstaafu wa klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam,
Dkt. Emeria Mugonzibwa akizungumza na wasichana wa Shule ya Sekondari
Jangwani leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi msaada wa taulo za kike
uliotolewa na klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam kwa wanafunzi wa kike wenye mahitaji maalum wa Shule hiyo.
Rais Mstaafu wa klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam, Dkt. Emeria Mugonzibwa akikabidhi msaada wa taulo za kike uliotolewa na klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam kwa wanafunzi wa kike wenye mahitaji maalum wa Shule Sekondari Jangwani leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...