Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja la Kavuu M 85.3 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kibaoni mkoani Katavi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Kibaoni mkoani Katavi mara baada ya kuwasili wakati akitokea wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.
 Sehemu ya barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamila kujengwa kwa lami na kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kama inavyoonekana pichani.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kibaoni mkoani Katavi mara baada ya kufungua barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamila kujengwa kwa lami pamoja na Daraja la Kavuu M 85.3


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kizi mkoani Rukwa wakati akielekea Kibaoni mkoani Katavi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mulele wakati akielekea kufungua barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akichagua nyama ya porini mara baada ya kujumuika na wadau mbalimbali, Wafanyakazi wa TANAPA, Askari wa Wanyama Pori, Wabunge, Mawaziri katika mbuga ya wanyama ya Katavi wakati akielekea Mpanda mkoani Katavi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia wanyama aina ya viboko katika hifadhi ya Taifa ya Katavi  mara baada ya kusimama wakati akielekea Mpanda.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo mkoani Katavi mara baada ya kuwasili akitokea Kibaoni. PICHA NA IKULU



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...