Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe
na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika
Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza leo Disemba 08,2019,
ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya
Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho
Disemba 09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Baadhi ya
Wauguzi Jijini Mwanza wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia
Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la
Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya
Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa
shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri
yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa CCM
Kirumba Jijini Mwanza.

Baadhi ya
Viongozi na Wananchi Jijini Mwanza wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa
akihutubia Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya
kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali
ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo
wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya
Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa
CCM Kirumba Jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia
Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la
Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya
Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa
shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri
yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa CCM
Kirumba Jijini Mwanza.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na
Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la
Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya
Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa
shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri
yanayotegemewa kuadhimishwa kesho Disemba 09 katika Uwanja wa CCM
Kirumba Jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...