Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiweka jiwe la msingi wa jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa
ndege wa Mwanza, Desemba 8, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akioneshwa ramani ya jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa
ndege wa Mwanza, kabla ya kuweka jiwe la msingi, Desemba 8, 2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...