Hitimisho la kuwapatia ujuzi wa mitambo Mbali mbali ya Kilimo iliyofanyika Wilayani Mvomero mkoani Morogoro iliyowajumuisha Vijana mbali mbali kutoka Nchi Nzima na ambayo ilifungwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kwa Niaba ya Waziri wa Kilimo Mhe, Josephat Hasunga na kuhudhuriwa na Mbunge wa Sumve Mhe.Richard Ndasa na Mwenyekiti wa TPSF Bi Angelina Sabina Ngalula na Mkurugenzi wa TPSF Bw Simbeye.

Mafunzo Hayo yaliyochukua Mwezi Mmoja yaliwajumuisha Vijana wapatao 135 na yalilenga Kuwaapa Hamasa na kujikita zaidi kwenye Kilimo cha kisasa kwa kutumia nyenzo za kisasa ili kuwaletea Tija na Ufanisi pia kuwajengea uwezo wa kujiajiri kupitia Kilimo









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...