Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi Jumanne Januari 28, 2020 amekabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria. Pamoja na Balozi wa Tanzania, mabalozi wengine 11 toka nchi za mbali mbali duniani nao walikabidhi hati zao za utambulisho tayari kuanza kufanya kazi katika nchi hiyo.
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi akiwa na Afisa Ubalozi mwandamizi Bw. Richard Lupembe wakisimama tayari kuwasilisha hati
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi akijitambulisha kabla ya kukabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria.
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi akikakabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria.
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi akikaribishwa kuanza kazi rasmi baada ya kukabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria.
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi akipata picha ya kumbukumbu baada ya kukabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria.
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi na Afisa Ubalozi Mwandamizi Bw. Richard Lupembe wakipata picha ya pamoja na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria. Picha na Ikulu ya Pretoria
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...