Balozi
mpya wa Tanzania nchini Afrika kusini Meja General Gaudence S Milanzi
leo amekabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Ciril
Ramaphosa Ikulu leo. Pamoja na Balozi wa tanzania, mabalozi wengine 11
toka nchi za mbali mbali duniani nao walikabidhi hati za utambulisho.
Rais wa Afrika Kusini Ciril
Ramaphosa pichani kati akiwa katika picha ya pamoja na Balozi
mpya wa Tanzania nchini Afrika kusini Meja General Gaudence S Milanzi (kushoto) mara baada ya kukabidhi hati ya utambulisho Ikulu leo.
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja General Gaudence S Milanzi leo amekabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Ciril Ramaphosa Ikulu leo. Pamoja na Balozi wa tanzania, mabalozi wengine 11 toka nchi za mbali mbali duniani nao walikabidhi hati za utambulisho
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...