Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (kulia)
akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Christine Musisi
alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kwa
ajili ya kujitambulisha. Mwingine pichani ni Bw. Godfrey Mulisa Mtaalam
wa masuala ya utawala wa Umoja wa Mataiafa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...