
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.
Harrison Mwakyembe (kulia kwake ) na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF) katika kikao cha kujadili maendeleo ya michezo
nchini kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini
Dar es salaam, Februari 25, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...