Wakili na kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Fauzia Akonaay(mwenye kilemba),akirejesha fomu ya kuwania Ubunge wa Viti Maalum,kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT),Mkoa wa Arusha leo Julai 16 ambapo amekabidhi fomu hiyo kwa Katibu wa UWT mkoa,Irimina Mushongi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...